
PATA TIBA YA KISUKARI NDANI YA SIKU 60 HADI 90
Unaamini kama kisukari kinatibika na kupona kabisaa?....
Basi usiache kusoma hadi mwisho nita kueleza hatua mojamoja hadi matibabu ya mwisho.
KISUKARI KINATIBIKA PATA TAARIFA SAHIHI
Kisukari hutokana na ongezeko la sukari mwilini ambayo haina kazi ambayo husababishwa na changamoto ya insulini.
AINA ZA KISUKARI
Kuna aina kuu mbili za kisukari
Kisukari aina ya kwanza.
Aina hii ya kisukari hutokea kinga ya mwili inapo shambulia seli za kongosho na kongosho kushindwa kuzalisha insulini.
Kisukari aina ya pili
Ni aina ya kisukari kinacho sababishwa na kongosho kuzalisha insulini kwa kiwango kidogo.
Na hii ndiyo aina ya kisukari inayo wakumba watu wengi.
DALILI ZA KISUKARI
Kisukari huonekana kuwa na dalili tofauti tofauti miongoni mwa dalili hizo ni;
mpaka hapo nahisi tumeelewana kuhusu ugonjwa wa kisukari na dalili zake kwa ujumla.
usichoke, sasa nataka uelewe magonjwa yanayo weza kutokana na ugonjwa wa kisukari wa muda mrefu soma ukurasa unao fuata...
๐ ๐๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ฌ๐๐ก๐๐ฌ๐ข ๐ช๐๐ญ๐ ๐๐จ๐ ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐๐๐ฅ๐ ๐๐จ๐ง๐ข๐๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐ญ๐ ๐๐๐ฆ๐๐๐๐ข๐๐ข๐๐๐.
Mgonjwa wa kisukari wa muda mrefu anaweza kupitia hisia mbalimbali kutokana na mabadiliko ya sukari mwilini, mabadiliko ya mara kwa mara ya sukari huweza kuibua hisia mbalimbali nje na ugonjwa alio nao na hivyo kusababisha magonjwa mengine njea ya madhara ya sukari, baadhi ya magonjwa hayo ni:-
1. ๐๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐จ๐ฒ๐จ ๐ง๐ ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐ข๐ค๐ข๐ณ๐จ ๐ฅ๐ ๐๐๐ฆ๐ฎ.
Hali ya mawazo kupita kiasi kwa mgonjwa wa kisukari huongeza hatari ya kiharusi na mshtuko wa moyo kutokana na hofu inayokuwa ikimtawala kwa muda mrefu.
2. ๐๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ ๐จ (๐๐ข๐๐๐๐ญ๐ข๐ ๐ง๐๐ฉ๐ก๐ซ๐จ๐ฉ๐๐ญ๐ก๐ฒ).
Kisukari huathiri kongosho, lakini tatizo kubwa kwenye figo husababishwa na msukumo wa damu usio wa kawaida na uchujaji wa damu unaozidi kiwango kinachohitajika. Hili husababisha kuharibika kwa nefroni (sehemu za uchujaji ndani ya figo), na hatimaye figo kushindwa kufanya kazi vizuri. Pia, wagonjwa wengi hupunguza mazoezi kwa sababu ya uchovu na maumivu, jambo linaloathiri afya ya figo zaidi.
3. ๐๐ฉ๐จ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฆ๐๐ญ๐๐ญ๐ข๐ณ๐จ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐๐ก๐จ (๐๐ข๐๐๐๐ญ๐ข๐ ๐ซ๐๐ญ๐ข๐ง๐จ๐ฉ๐๐ญ๐ก๐ฒ).
Kisukari huathiri macho kwa kusababisha mishipa midogo ya damu kwenye retina kuharibika au kuziba, hali inayojulikana kama retinopathy. Sukari nyingi kwenye damu huharibu ukuta wa mishipa hii, na kusababisha uvujaji wa damu au kujaa kwa majimaji kwenye retina, hali inayosababisha upofu ikiwa haitatibiwa mapema. Shinikizo la damu na msongo wa mawazo vinaweza kuzidisha hali hii kwa kuongeza mzigo kwenye mfumo wa mzunguko wa damu.
4. ๐๐ข๐๐จ๐ง๐๐ ๐ฏ๐ข๐ฌ๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฉ๐จ๐ง๐ (๐๐ข๐๐๐๐ญ๐ข๐ ๐๐จ๐จ๐ญ ๐ฎ๐ฅ๐๐๐ซ๐ฌ).
Matatizo ya neva na mzunguko wa damu duni huweza kusababisha vidonda sugu vinavyoweza kupelekea kukatwa viungo.
5. ๐๐๐ญ๐๐ญ๐ข๐ณ๐จ ๐ฒ๐ ๐ง๐๐ฏ๐.
Kisukari husababisha matatizo ya neva (neuropathy) kutokana na viwango vya juu vya sukari kwenye damu vinavyoharibu nyuzi za neva. Athari hii inaweza kusababisha hisia za ganzi, kuchoma, au maumivu makali hasa kwenye miguu na mikono. Pia, neuropathy inaweza kuathiri mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, moyo, na kibofu cha mkojo, hivyo kusababisha matatizo kama vile kuharisha, kushindwa kudhibiti mkojo, au mapigo yasiyo ya kawaida ya moyo.
6. ๐๐ฎ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ง๐ ๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข.
Kisukari hupunguza kinga ya mwili kwa njia kadhaa. Kwanza, sukari nyingi kwenye damu huathiri uwezo wa chembe nyeupe za damu kupambana na maambukizi. Pili, mzunguko duni wa damu huchelewesha uponyaji wa vidonda na huongeza hatari ya maambukizi. Wagonjwa wa kisukari wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya bakteria, fangasi, na virusi, hasa kwenye ngozi, mdomo, na mfumo wa mkojo.
7. ๐๐ฎ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฏ๐ฎ ๐ณ๐ ๐ค๐ข๐ฎ๐ฆ๐ ๐๐ฎ ๐ฆ๐๐ญ๐๐ญ๐ข๐ณ๐จ ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ณ๐๐ณ๐ข.
Kutokana na damu kutembea kwa viwango vya chini na katika hali ya uchafu, madhara huweza pia kutokea kwenye mifumo ya uzazi, kwa wanaume, kisukari kinaweza kusababisha tatizo la nguvu za kiume (erectile dysfunction), na kwa wanawake, huweza kuathiri mzunguko wa hedhi na uzazi.
Hitimisho:
Ni muhimu kwa mgonjwa wa kisukari kudhibiti sukari yake katika hatua za mwanzo kabla ya kufikia hatua ngumu zaidi. Unaweza kutibu sukari mojakwamoja au kuidhibiti kwa jitihada kubwa kwa kuzingatia lishe bora, mazoezi, na dawa wanazopewa ili kupunguza hatari ya madhara haya.
#brighter health. # Kisukari kinatibika. #Supplementary treatment.
HATUA ZA MATIBABU
Mgonjwa wa homa ya kisukari huitaji matibabu kulingana na ukubwa wa changamoto na muda uliokaa na changamoto hiyo na madhara aliyo kwisha kuyapata.
Matibabu ya awali uhusisha matibabu ya mfumo ya mfumo wa damu na uboreshaji wa kinga za mwili (immunal system), na kuboresha afya ya ngozi.
Matibabu awamu ya pili uhusisha dawa za kuimarisha afya ya kongosho na mfumo mzima wa ualishaji wa insulini, kuyeyusha mafuta yaliyo zidi kwenye ini na kuwezesha damu kutembea kwa urahisi pamoja na usafi wa ndani kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini.
Matibabu awamu ya tatu huzingatia madhara ya nje aliyo yapata mgonjwa ikiwa ni pamoja na kukausha vidonda, kuzibua mirija ya damu iliyoziba na uchafu wa nje ya mwili ulio sababishwa na mzunguko hafifu wa damu.
FAIDA ZA KUANZA DOSE MAPEMA.
Kuanza dose mara unapogundulika kuwa na kisukari huweza kusaidia kwa kiasi kibwa kwa upande wa mgonjwa, miongoni mwa faida za kuanza dose mapema ni pamoja na;
MATIBABU NA DOSE
Dose ya mgonjwa wa kisukari hupatikana katika package ya mwezi, ambayo hupatikana kama ifuatavyo.
OFFER
Kwa anaye hitaji dose ya kisukari au kisukari na presha dawa ya miezi miwili kwa mpigo atapokea punguzo la 10% ya bei kwa dose zote.
DOZI

Dawa hizi zimetengenezwa bila mchanganyiko wa kemikali zozote,
zimehaririwa na kuandaliwa kwa vyakula asilia GMO na kuwezeshwa kwa ufanisi zaidi ya asilimia 99.9%.
Hii sio tiba mbadala ni tiba inayo jitegemea kwani haiitaji usaidizi wa dawa nyingine ili kufanya kazi.
Dawa hizi zimethibitishwa na Shirika la viwango Tanzania (TBS) na mamlaka ya chakula na madawa ya binadamu Tanzania (TMDA)
Pia zimethibitishwa kutumika ndani ya mataifa 8 yenyenguvu duniani pamoja na falme za kiarabu.
Bonyeza kitufe hapo chini kwa maelezo zaidi
BOFYA KUAGIZA IKIWA UNAHITAJI DAWA